Thubutuuuuuuu!Tumeanza kuota ndoto za Grammy!
Basi hapo watoto wa kariakoo tunawakeraaaaa! Mnanunaaaaa, hamtupendiiiiiiiiii.. [emoji23]
# wcb # winners cycle [emoji6]
Jamani jamani [emoji23] [emoji23]Thubutuuuuuuu!
Siku Diamond akichukua tuzo ya Grammy (kama nitakuwa bado) nitakuwa radhi kuolewa nawe bila mahari [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yessss...bureee![emoji12]
Seriously, tukaandikishane tu.Jamani jamani [emoji23] [emoji23]
Hebu twende kwa Albert msando tukaandikishiane hilo suala!
Ndani ya two/three years nakupeleka Blantyre bureeeeeeee [emoji106] [emoji1]
Aiseee! Hizi bahati hazijagi mara mbili.. Naona kila dalili za ng'ombe zetu 40 kubakia home tunabeba mtoto bureeeeeee..Seriously, tukaandikishane tu.
Najiamini maana najua haiwezi tokea.
Grammy?[emoji15] [emoji87]
Endeleeni kuota.
Aiseee! Hizi bahati hazijagi mara mbili.. Naona kila dalili za ng'ombe zetu 40 kubakia home tunabeba mtoto bureeeeeee..
Nikirudi, naanza kukesha sinza wcb kupush mikakati ya kuingiza single kwenye chat za billboard.. Baada ya hapo Grammy becomes a reality..
Jiandae kusani makubaliano next week [emoji23] [emoji6]
You are warmly welcome [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day,nimecheka mpaka nimegalagala.
Thank you [emoji8] [emoji8] [emoji8]