Burna Boy.. Wizkd hawa ndo mapebari wengne ma young kbsa kwnye gemu Tuzo hii either achukue Platnumz or Wikdayo or Burna Boy GramHongera kwake..
Anashindana na nani katika kipengele chake
Hivi mziki wa wizkid huwa mnauelewa? Kinachompa uungwaji mkono ni ujumbe anao imba au midundo na matamshi?Burna Boy.. Wizkd hawa ndo mapebari wengne ma young kbsa kwnye gemu Tuzo hii either achukue Platnumz or Wikdayo or Burna Boy Gram
ehh funguka amekufanya nini tena mkiwa faragha?Alikiba kama tahira
Anastahili sana..na kama taifa tunapaswa kujivunia mafanikio yake.. Kama wewe unamkubali Mond kama mimi LIKE hii post?[emoji23][emoji24][emoji817]Niaje niaje ......kongole Kwa Mr diamond platnumz Kwa kuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS.....sio Jambo dogo maana Kwa afrika wako wasanii wengi Sana ambao wanafanya muziki ........ karibu tumpongeze mtanzania mwenzetu Kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo ...maana kuipata ni issue nyingine lakini kutajwa Tu inareta msisimko kwamba wanajua upo na ufanya nini asante.
Amenionesha video akikutafuta kibogaehh funguka amekufanya nini tena mkiwa faragha?
Burna Boy.. Wizkd hawa ndo mapebari wengne ma young kbsa kwnye gemu Tuzo hii either achukue Platnumz or Wikdayo or Burna Boy Gram
Hivi mziki wa wizkid huwa mnauelewa? Kinachompa uungwaji mkono ni ujumbe anao imba au midundo na matamshi?
Muombee mwenzako mafanikio na wewe Mungu atakufungulia kwa upande wako.Lyrics za wale jamaa wa naijeria ni zakimataifa ngoma kama essence ya wizzo na banna boy yeah hataree sana hawa wa kwetu bado hawana nyimbo za maana zaidi ushambenga tu.top ten ya Barack Obama hawa jamaa wapo huyo simba wenu anasindikiza tu akirudi aje kula nyani tu kwenye pori lake
Sasa tulike alafu wewe unalia?? Babu yangu mda mwingine sikuelewagi yaanAnastahili sana..na kama taifa tunapaswa kujivunia mafanikio yake.. Kama wewe unamkubali Mond kama mimi LIKE hii post?[emoji23][emoji24][emoji817]
Kuna Wiz kid ,burna boy....na watu wengine kama watatu au wanneHongera kwake..
Anashindana na nani katika kipengele chake
Muombee mwenzako mafanikio na wewe Mungu atakufungulia kwa upande wako.
acha wivu wewe,Mafanikio kwa nyimbo zenye ubora gani? mashairi yenyewe hovyo matusi amini ninachokuambia jamaa bado sana anasindikiza tu atarudi hapa ,wenzetu wanaimba bhana wanajua nanachokifanya na elimu pia, hivi huyo wakwetu alialikwa kuimba world cup ama afcon jamani? akaenda na mbagala uwanjani yaani ndiyo maana simkubaligi kabisa yaani pale ndiyo dunia iliko sasa unaimba ushenzi sijui hao menejiment yake ikoje au na wao hawajui? What is mbagala?
Hongera zake ila mi kwa Afrika huwa nampenda wizkid tuNiaje niaje.
Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki.
Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini kutajwa Tu inaleta msisimko kwamba wanajua upo na ufanya nini.
Asante.
View attachment 1800228