Hongera Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET

Wewe kaa kwa kutulia hujui lolote
 
Hv ile tuzo ambayo wabongo walikiwasha mtandaoni kutaka alikiba apewe tuzo baada ya hzo tuzo kumpa wizkid ndo hz hz au?
 
Siyo chuki huyo simba ana nini labda nyimbo za kawaida sana ukilinganisha na hao akina wiz na bhanna haingii hata theluthi nielewe hivyo
elewa hivyo wewe ila bet wamemwelewa na ndio maana ndani ya watano naye yupo hata kama hutaki. comment zako zenyewe zimekaa kichukichuki tu.
 
Diamond ni Giant kwenye music wa Afrika, consistency yake ni kama Messi na Ronaldo kwenye soka, au Chris Brown kwenye game.

CAN YOU IMAGINE KWA MIAKA MITANO KAWA NOMINATED MARA TATU,Nadhani anayemfikia ni Wizkid tu kwa nomination nyingi za BET.
 
Tuzo apate wapi na nyimbo zake hizo ,?
Ye akaingie choo cha kike na kuzibua mitaro yake na asisahau kukanyaga na kujibeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…