Hongera Diamond platnumz

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Sorry wanajukwaa niko Namtumbo ndanindani huku sielewi mambo yanayotokea mjini, niliambiwa na rafiki yangu ambaye yuko daslam kwamba tar 8 Nov (jana) msanii wetu maarufu aliyeimba kitorondo atatunukiwa shahada ya uzamivu kwenye mahafali ya chuo kikuu cha dar es salaam, naomba mniwekee picha za dr wetu akiwa na joho tafadhali
 
Hahahahaaaaaa kende mchokozi wewe....
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu kama hicho hata hajamentioniwa hiyo jana wamepewa wawili tu za heshima
 
Unampongeza wakati huna uhakika kama amepewa ..... kende ...ulikuwa unamsubiria sana kuitwa dr.
 
Last edited by a moderator:
Hapana ulisikia vibaya nadhani,aliyekuwa akipewa ni dogo fulani hivi naye ni mha wa Kigoma hukohuko sema amezamia sna hapa Dar si unajua kule tena,naye ni yule wakuitwa KIBA jina la kwanza nimesahau
 

Hahahaaaa jamani JF mna vituko
 
Unampongeza wakati huna uhakika kama amepewa ..... kende ...ulikuwa unamsubiria sana kuitwa dr.

Haters mna jilas kisa Nassib Abdul kuwa Dokta. Anyway, wekeni picha basi ya Dr Platnumz akiwa na joho, mbona mnanibania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…