Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wana jamvi wasalaam.
Kwa niaba ya wanaume wa Dodoma! ule msemo wa mwende mkaijaze dunia umeendelea kutimizwa na ndugu Diamond.

Na sasa anatarajia kuleta mwingine duniani.

Confirmed
Diamond amethibitisha kuwa zari ni mjamzito na wanataraji mtoto wa kiume ifikapo mwezi wa 12
uploadfromtaptalk1469786956833.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Madongo yanatofautiana ndugu hata sisi wanamume unaweza kukuta mshkaji wako mmekuwa nae aidha kachoka au bado anadai mpaka mnaulizana wee jamaa mbona huzeeki?
 
Huyo ndiyo anaweza kuwa first born wa Mond, Tiffa aliuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom