Ila nae anajitahidi kuzaa... Domo ajitahidi by 2020 anaeza fikisha 4 au 5 hapoDuh, nilikuwa napita to. Haters soon watamuita Zari wodi ya wazazi
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?Ila nae anajitahidi kuzaa... Domo ajitahidi by 2020 anaeza fikisha 4 au 5 hapo
Mbaya zaidi wanategemea Mtoto wa Kiume. Hakika itakuwa habari mbaya sana kwao.Habar mbaya sana hii kwa mange,Hamisa,Nasma na pia inaweza ikawa mbaya kwa mama diamond.
Maisha hayana jibu moja mkuu.Itakuwa kali sasa
Mwanangu kamzidi Tiffa miezi 6
Lakini sina hata fikra
Atakua anatumiwa chapati na vitumbua kutoka kwa Bi Sandra.Duuh jamaa katisha sijui kale kademu lyn kanahari gani mange anavo katetea huyu mama kesha mteka sana chibu kasitegemee mteremko katajuta kutegesha
Madongo yanatofautiana ndugu hata sisi wanamume unaweza kukuta mshkaji wako mmekuwa nae aidha kachoka au bado anadai mpaka mnaulizana wee jamaa mbona huzeeki?kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Hahahaaaa umetisha mkuuAtakua anatumiwa chapati na vitumbua kutoka kwa Bi Sandra.