Hongera Dkt. Bashiru na Komredi Polepole, Tuandikieni kitabu kama zawadi

Tuweke rekodi sawa,kufuatia kanuni za kutengenisha kofia mbili tayari Magufuli aliwaondoa Polepole na Bashiru katika nafasi zao kwa kuwateua kuwa mbunge ma Katibu Mkuu kiongozi. Technically Magufuli aliwaondoa.
 
Leo ndio ilikuwa mwisho wa unafiki ndani ya CCM. Hongera mama kwa kukata mzizi wa fitna! Nimeamini wewe ni 'mwanamke wa shoka'!
 
Aisee, kuna watu bado wana maumivu hatari. Tanzania ni nchi, wananchi tunapita tu.
 
Wewe ni either Polepole ama Bashiru, si mtu mwingine. Kwa utopolo mlioufanya hakuna mtu wa kuandika hivyo.
 
🤣🤣🤣Dr katika mchakato, imeisha hiyo. Sifu abudu its over now
 
Ni kweli kabisa, tunawashinda sisi Chadema viongozi wetu hawakusoma, na waliotaka kusoma,kama Mwenyekiti kaishia Zero 'A' level,, Katibu Mkuu College drop out, Naibu Katibu mkuu, form four, Mgombea nafasi ya Makamu wa Rais amesoma sana, yeye ana cheti cha Uandishi wa habari.

Ni bora ieleweke hukusoma lakini unaweza kuchangia mambo kwa ukilaza na bila kupewa lawama sababu shule tulikimbia. Kuliko . . . . . . . .

Usibishane na washabiki ambao wamewachagua viongozi vilaza kuwaongoza kama ni mifano ya wao wenyewe walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…