Hongera dominic mosha kwa kuachana na ukapera;mungu mkubwa kweli

Hongera dominic mosha kwa kuachana na ukapera;mungu mkubwa kweli

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hakika aliesema hakuna mungu na alaaniwe milele
nimefurahishwa kuona mate wangu pale chuo kikuu bw dominic mosha akikubali kula ndafu na mke wake wa maisha
si kwamba alikuwa nanii kihivyo hapana ;ndugu yangu alikuwa mwaminifu sana lakini kila akiadhibiwa akusita kusema sitaki kabisa kusikia ndoa hawa watu wa baba mmoja na mama moja akili zao moja;akika ametuhakikishia si hivyo na waume zao wamoja
means uliengia na unaesubiri ipo siku utazama kwenye ndoano
mama mtunze kijana;anzeni maisha kwa kumjua mungu.matatizo yenu hayatatuliiwi na baba dom wala mama dom wala wakwe zako ni nyie wenyewe;moto utakaokutana nao mwambie mungu apigane nao...nawaombe uwe na amani na kusiweko na kutoeleewana
narudia tena msikimbilie shida zaenu kwa marafiki...wala wasiokuwa na ndoa...

Happenew yr/ote hsppy bday/waingakyi inu/mbutana/happy valentine/ngasuko ulalu/happy morning/chaa/ ngikundiamba
lee

"mwaka mpya mwema"

ulakucha wose
 
mama mia nilidhani ningekuelewa lakini i got lost baadae... I know the guy back 1994. Sikujua kama ni celebrit nowadays huko!
 
kijana ni mmoja wapo !!!!
 
kaamua kuachaana na kukamua kamua ovyo wacha amkamulie anaempenda sio majambazi safi kijana umenifurahisha
 
Hongera sana namkumbuka Niliwahi kufanya nae kazi InterConsult Hee mama mia kumbe nawe ni kijana ehh
 
Hongera sana namkumbuka Niliwahi kufanya nae kazi InterConsult Hee mama mia kumbe nawe ni kijana ehh

aku babu hiyo namba tu
 
Niambie bwana ndio maana nilikupa offer ya ndoa last time ukayeyuka mie naowa mwaka kesho ohoo shauri zako
 
Niambie bwana ndio maana nilikupa offer ya ndoa last time ukayeyuka mie naowa mwaka kesho ohoo shauri zako

hongera shy ntazidi kukumbuka daima;ama akiachika huyo mwakani kip ini tachi...nawatakia ndoa njema dear
 
Nimesema nina mpango lakini sijaamua haswa ni nani manake ni miezi 12 u know but i saw something in u --
 
hongera dominic ....long time sana mg...longtime

bwaaaaaaaaaaaaaa bwaaaaaa hiiiiiiiiiii!!!!!
Embu msinikumbushe kipindi tunakimbia korido za kupumzikia jamani
vyuoni kuna mengi???
 
bwaaaaaaaaaaaaaa bwaaaaaa hiiiiiiiiiii!!!!!
Embu msinikumbushe kipindi tunakimbia korido za kupumzikia jamani
vyuoni kuna mengi???

Ulikuwa unakimbia nini Mama? au ulikuwa unakimbia baada ya kupigwa exile na room mate?
 
Ulikuwa unakimbia nini Mama? au ulikuwa unakimbia baada ya kupigwa exile na room mate?

mkuu nilikuwa nakimbia "DEO"
UDSM UKIINGIA NA DADAKO/SIS WAKO STAGE YA KWANZA KUNA VIDIRISHA VIDOGO KULE JUU..WATU WANA CHANA PEMBENI KULA CHABO ANY WAY WANAITA DEO..SASA AFADHALI YA HII UNAKUTANA ALIE NDANI SI WAKO GAFLA MWENYE MALI ANAGONGA NA HUKU ANASIKIA MAONGEZI AMA KUKUTA WATU WAKISHUHUDIA TUKIO ;HAPO NDIPO VILE VARANDA ZA KUPMZIKIA ZINAPOFANYAIWA KAZI WATU WANAINGIA CHUMBA CHA TATU CHA MTU AMBAE UNA MWAKA UJAWAHI KUMSALIMIA ETI UNASHANGAA KUMBE NAWEZA KUFIKA HUKU KUPITIA VARANDA HUKU MLANGO UJAFUNGUA ALIE NDANI AJUI KINACHOENDELEA ;HAYA MAMBO YALINIFURAHISHA SANA MAISHA YA PALE
ANY WAY PAST;HAYA YALITOKEA KWA WATU WENGINE SI KWA DOMI

HAPPY MERRIAGE DOMY
 
Hiyo cha mtoto kuna mmoja huyo alifunga kazi
alikuwa rmate wangu alipokuja akakuta kila mtu yuko na wake alichofanya akachukua godoro moja kule juu kuna sehemu ya kuhifadhia yaani store bahati aikuwa na funguo;jamaa akalaza godoroo kwenye meza shuguli ikaanza ni saangapi watu wapande juu;wanatumia yale madubwasha ya uchafu unasikia nje napanda mimi kwanza aaaa we umetukuta
nafurahia wengi wameshaoa waliotufurahisha ;
 
Guys nimeibuka bwana....

Ahsanteni sana kwa wishes zenu. Mungu awabariki sana. Shy(TM) wapi siku hizi?
 
Guys nimeibuka bwana....

Ahsanteni sana kwa wishes zenu. Mungu awabariki sana. Shy(TM) wapi siku hizi?
Kaka mbona umeenda kimya kimya hivyo!! Hongera sana Mkubwa!!
 
Guys nimeibuka bwana....

Ahsanteni sana kwa wishes zenu. Mungu awabariki sana. Shy(TM) wapi siku hizi?

kuna ujumbe huyu dada alitaka akutumie basi anafichaficha? hii thread kama ina kijembe flani hivi, kuna kaharufu hapa! ebu fafanueni kidogo! huyu dada si mgeni machoni kwangu!
 
Guys nimeibuka bwana....

Ahsanteni sana kwa wishes zenu. Mungu awabariki sana. Shy(TM) wapi siku hizi?
Kijana hongera sana japo sikukuchangia kama ulivyoombaa..

Ila sikutambuaa u maarufu hadi JF!!! Mtunze mkeo akutunzee..
 
Itabidi kwanza kuwekwe preamble kwenye thread kuainisha selebriti ni nani. Vinginevyo basi kila mtu ni selebriti ati.
 
Back
Top Bottom