Nampongeza Shein kwani najua kinachokwenda kufanyika kule Zenj,, na kama tusipo angalia watatupiga gape siyo kwasababu Zanzibar ni ndogo bali kwasababu ya selikali ya mseto..
Mimi namtakiwa Safari njema ya Ikulu lakini nataka kumwambia rafikiyangu Amani Shein asije kuwa kama Ridhiwani kikwete,, hayo ni majukum tu ambayo yanamwisho wake