Hongera Dr. Shukuru Kawambwa

Hongera Dr. Shukuru Kawambwa

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
 
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.

Ungeandika bila kutaja dini hapo ungekufa.
 
Ungeandika bila kutaja dini hapo ungekufa.

Ulishasikia akina pengo/kakobe/mwingira wanalalamika kufelishwa???

Nani hajui sisi waislamu huwa tunalalamika kufelishwa?? Tuache kuchanganya dini na elimu dunia. Angalia Iran ni nchi yenye wasomi wengi waliobobea na wanashika dini pia. Ila tanzania sisi waislamu tumekalia majungu mwanzo mwisho. Tunasigana misikitini. Hatuongelei issue tunaongelea watu binafsi na maisha yao. Hatufuatilii maisha ya wanetu shule ila tupo tayari kumtolea lazi mtoto asipoenda kuswali,
 
Acha uchochezi wewe,mambo yakipita yamepita unayaleta yanini?
 
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Katika hili endelea kushukuru kuwa kwako anonymous kwani kunakufanya uonyeshe uhalisia wako kiurahisi jinsi usivyo na busara na ulivyojawa na chuki...vinginevyo watu wangeendelea kukuweka katika kundi moja na Great thinker.
Haionekani mantiki yoyote ya kuunganisha thread yako na Uislamu maana hata kama usingeweka hilo neno ulikuwa na thread yenye kujitosheleza kujadirika,ila kwa kuwa unalengo tofauti na kichwa cha uzi wako subiri kuche ukutane na hao uliowaita.
 
Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
  • Kuelewa kwa mwanafunzi kunategemea ni jinsi gani huyo mwanafunzi anafundishwa
Ufundishaji:

  • Aina ya ufundishaji yaweza kufanya mada rahisi, ikaonekanakuwa ngumu, au mada ngumu kuwa rahisi.
  • Mtazamo wangu: Kuto kuelewa mwanafunzi wakulaumiwa si mwanafunzi bali ni mwalimu/muwezeshaji sababu ameshidwa kumuwezesha mwanafunzi aelewe.
 
PSLE 2013 EXAMINATION RESULTS

ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC PR SCHOOL - P0204107

WALIOFANYA MTIHANI : 38
WASTANI WA SHULE : 124.0263
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 93 kati ya 108
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 280 kati ya 486
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 2445 kati ya 15656
 
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Mkuu umeandika vizuri sana ila ulipoweka udini kwa kutaja dini nyingine umeharibu kila kitu.
 
Back
Top Bottom