Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Ungeandika bila kutaja dini hapo ungekufa.
Ulishasikia akina pengo/kakobe/mwingira wanalalamika kufelishwa???
Nani hajui sisi waislamu huwa tunalalamika kufelishwa?? Tuache kuchanganya dini na elimu dunia. Angalia Iran ni nchi yenye wasomi wengi waliobobea na wanashika dini pia. Ila tanzania sisi waislamu tumekalia majungu mwanzo mwisho. Tunasigana misikitini. Hatuongelei issue tunaongelea watu binafsi na maisha yao. Hatufuatilii maisha ya wanetu shule ila tupo tayari kumtolea lazi mtoto asipoenda kuswali,
Katika hili endelea kushukuru kuwa kwako anonymous kwani kunakufanya uonyeshe uhalisia wako kiurahisi jinsi usivyo na busara na ulivyojawa na chuki...vinginevyo watu wangeendelea kukuweka katika kundi moja na Great thinker.Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Mkuu umeandika vizuri sana ila ulipoweka udini kwa kutaja dini nyingine umeharibu kila kitu.Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana, haswa ktk mazingira ambayo waislamu/vikundi fulani huona wanaonewa wakati uvilaza unasumbua. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.