Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Huduma iliyongojewa miaka mingi, hatimaye imefika: :: DSE SHARE PORTAL :: Sasa unaweza kuuza na kununua hisa kupitia mtandao.
Pa kuboresha:
1. Uwezo wa kununua hisa zilizo kwenye soko, siyo zile za IPO tu. Kwa sasa kitufe cha "Buy" hakifanyi kazi.
2. Teknolojia ya SSL iwekwe kwenye saiti hiyo ili itumike kwa usalama zaidi.
Hongera DSE na Max Malipo. Tunategemea marekebisho hayo, hasa yale ya No 1. hapo juu yatafanyika shime.
Kila la kheri.