Hongera DSE na Max Malipo sasa Boresheni Huduma

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Huduma iliyongojewa miaka mingi, hatimaye imefika: :: DSE SHARE PORTAL :: Sasa unaweza kuuza na kununua hisa kupitia mtandao.

Pa kuboresha:

1. Uwezo wa kununua hisa zilizo kwenye soko, siyo zile za IPO tu. Kwa sasa kitufe cha "Buy" hakifanyi kazi.
2. Teknolojia ya SSL iwekwe kwenye saiti hiyo ili itumike kwa usalama zaidi.

Hongera DSE na Max Malipo. Tunategemea marekebisho hayo, hasa yale ya No 1. hapo juu yatafanyika shime.

Kila la kheri.

Mlenge
 
DSE inatakiwa ianzishe DSE App kama walivyo majirani zetu kenya (NSE App) ili kuwawezesha wawekezaji waweze kupata taarifa kwa haraka na kurahishia kufasha shughuli za uwekezaji kupitia simu, halafu ijitahidi katika kutoa taarifa sahihi na kwa haraka katika website yao.
 
Wanayo... ya majaribio . Inaitwa Leverage Scholar.
 
Hongera kwao ila bado inasumbua nmeshindwa nunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…