Hongera Eddie Sultani kwa ndoa!

Jamani juzi juzi alikuwa anatangaza kipindi cha watoto leo kawa baba mmh! haya huyo mke nae ni mtoto mwenzie au.... maana Eddy bado ni mdogo sana.
 
Pole sana Eddie, ur now in prison no more hanging out from sun to dusk!
 
mwanamke mwenyewe anaonekana mzee!au macho yangu jamani?
 
Mimi bado nashangaa mwenzenu, haya malavi davi mengine ni kuangalia tu.
 
Masanilo-Hivi yupi mkubwa hapa? I mean nani kamuoa nani?

Attachments

  • 1.jpg
    44.2 KB · Views: 1,291
  • 2.jpg
    49.3 KB · Views: 805
  • 3.jpg
    40.8 KB · Views: 804
sifa za kijinga tu, Lol!
unakimbilia wapi bwamdogo?
 
Hii kali jamani, wadada hebu acheni watoto wa watu wakomae kwanza lo! akianza kwenda disko kila siku na kujirusha na vibinti dot com size yake huyo bibie ataanza kulialia kumbe ni stage ambayo lazima aipitie,, matokeo yake ndoa inavunjika.
 
Hivi ni kweli Ndoa haina umri?
Msaada jamani maana dogo naona umri bado huyo shemeji mmmh amekwenda age kidogo akishusha single 1 tu wataanza kukimbiana nyumbani tuombee Mungu kama kweli dogo amezimia mambo ya Kitanga na si kingineko.
 
Naye atapata wasaidizi tit for tat...
 
Masanilo-Hivi yupi mkubwa hapa? I mean nani kamuoa nani?

Kwa vyovyote vile "wameoana"!

Kwa mtizamo Eddie looks "VERY" young ukimlinganisha na Bibie!

Anywayz - Hongera Eddie (lakini kama umewahi vile au Bibie tiyari?)
 
Hivi ni kweli Ndoa haina umri?
Msaada jamani maana dogo naona umri bado huyo shemeji mmmh amekwenda age kidogo akishusha single 1 tu wataanza kukimbiana nyumbani tuombee Mungu kama kweli dogo amezimia mambo ya Kitanga na si kingineko.

Mkubwa umenijibu swali langu kumbe mawazo yetu yanashabiiana!!! bibie kama size yangu.... teh!
 
Mkubwa umenijibu swali langu kumbe mawazo yetu yanashabiiana!!! bibie kama size yangu.... teh!

Hahahahaha msije mkaanza kumpelekea mara vipodozi mara dogo nimekuja kukusabahi kitambo hatujaonana...lakini huyo bibie akishusha single 1 tu basi kwisha kazi dogo ndo ataonekana mbichi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…