Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Ilikuwa inasumbua kuwa unaweza kufanya booking online lakini kulipa mpaka usafiri kwenda physically ofisi kwenu- mfano ukiwa Rombo unabidi kwenda hadi KIA ndiyo uweze kulipia tiketi jambo ambalo linafanya maana nzima ya kuwa na online booking kukosa maana. Nimesoma jana katika gazeti kuwa sasa wateja wenu wataweza kulipia kwa M-Pesa - Big up!