Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
hivi na kwenye credit cards haina haja ya kuwa na hela!!?Kwa nini wasipige hatua mbele zaidi na kuanza kukubali malipo kupitia credit cards? Hiyo ya kulipia kupitia M-pesa naona kama bado ina usumbufu wa aina fulani kwani kuweza kufanya hivyo lazima kwanza uwe na pesa kwenye simu!!!
Tiba
Kwa nini wasipige hatua mbele zaidi na kuanza kukubali malipo kupitia credit cards? Hiyo ya kulipia kupitia M-pesa naona kama bado ina usumbufu wa aina fulani kwani kuweza kufanya hivyo lazima kwanza uwe na pesa kwenye simu!!!
Tiba
hivi na kwenye credit cards haina haja ya kuwa na hela!!?
so interesting, does it mean all bank account owners have enough balance in their account!? ...experiencing my own bank account sirHow much money do you keep in your mobile phone? Credit cards are linked to the main bank account where we keep a good amount of money. Is n't it?
Tiba
so interesting, does it mean all bank account owners have enough balance in their account!? ...experiencing my own bank account sir
not sure if you're serious or not!If this is the case, then you will not have enough balance to transfer to your phone as well, hence you can not even travel by planes? Lets face the reality!!!! I beg not to continue with this arguement, if possible.
Tiba