Wala.Hii imeambatana na maumivu makubwa mnoo.
Poleeeee afu relaaaaaxxxx [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyu fei tutamfunga mdomo kabisaView attachment 2940663
Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi Machi 17, 2024.
Huu unakuwa mchezo wa tatu kwa Feisal kukutana na Yanga toka ajiunge na Azam FC na linakuwa goli lake la kwanza kuiwamba Utopolo.
Wakati Fei akiwa kikata domo la Utopolo wiki ijayo kuna mambo mazuri zaidi yanakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeWala.
Nyie sasa, mitaani na vijezi vyenu lonya.
Mshahara wa Azam anaopokea kutoka wa awali aliokuwa akipokea pia ni mafanikio.Ndugu mbumbumbu Yanga kufungwa goli na Fei toto hakuna shida yoyote kwakua Yanga bado ita twaa ubingwa, Yanga kama timu mafanikio yake ni kutwaa mataji.
Feitoto kama atakua na akili za mbuzi kama zako nakuona kuifunga yanga ni taji la ubingwa kama wafanyavyo waajiri wake maana yake ameenda kwenye udumavu.
Feitoto anatakiwa apambane kuondoka kwenye mpira wetu na kwenda kucheza nje ya mipaka ya Tanzania.
Kama Fei ataona kufika Azam ndio mafanikio yake basi atakua yupo kwenye kundi la wachezji wengi wa kibongo ambao waliona mafanikio yao ni kuchezea timu kubwa za bongo.
Kulingana na umri wa Fei akishindwa kutoka ndani ya misimu hii miwili kupata timu nje ya Tanzania atakua amekwama yeye binafsi.