Hongera Fid Q kwa kuwa balozi wa "Hedhi Salama"

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike.

Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa kike.

Watoa deal wameitendea haki kampeni yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hiphop bila hedhi inawezekana.......๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜aah kumbe bila madawa
 
Hata huko wangepinga mwanaume utaelezeaje hedhi ya mwanamke haileti picha nzuri kwa maoni yangu.
๐Ÿ˜‚nashangaa sana!

hii ni sawa na mtu kua mwenyekiti wa albino wakati yeye sio albino.

soon atapewa majina ya ajabu kama asipochomoka mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ