ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Always soka la wanawake Huwa linatutoa kimasomaso sana..
Hongera sana Fountain Gate
Duuu, wanapewa pesa sawa na yangaAlways soka la wanawake Huwa linatutoa kimasomaso sana..
Hongera sana Fountain Gate
Sawa, Ila yanga queens hali yao vipi?Pongezi ziende Kwa GSM
Acha tuwekeze kwenye taifa kwanzaSawa, Ila yanga queens hali yao vipi?
Duuu, wanapewa pesa sawa na yanga
Kwi kwi kwi,Acha tuwekeze kwenye taifa kwanza
Hii ndio timu sasa imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Tanzania kuchukua ubingwa wa Africa. Achana na Simba na Yanga. Hongera kwao.Always soka la wanawake Huwa linatutoa kimasomaso sana..
Hongera sana Fountain Gate
Mil 700