MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Jamaa kakaa America kwahiyo kujiamini kupofilbert bay hanaga hamu na huyu jamaa, ni mwiba sana huyu mtu, kuna siku walipambanishwa ndani ya sports bar ya cloudx tv, palikuwa patamu aisee
Wa nchi mbili kwa Tanzania sheria inaruhusu uraia wa nchi mbili?Huyo.kijana ana uraia wa nchi gani?
5,000km ni kama Dar - Mwanza mara 4 kama siyo mara 5 duuh, jamaa ana mbio sanaWa nchi mbili kwa Tanzania sheria inaruhusu uraia wa nchi mbili?
Siyo 5000km ni 5000mt5,000km ni kama Dar - Mwanza mara 4 kama siyo mara 5 duuh, jamaa ana mbio sana