Ref.Masoud Masoud....Nina uhakika hakuna anayeongea "English" fasaha kama huyu mwana habari.Inatakiwa media za Tanzania kuchangamka kimataifa badala ya habari kubwa kuhusu Tanzania ktk lugha ya Kiingereza kurushwa kutoka Nairobi na Johannesburg au waandishi wa vyombo vya nje waliopo Tanzania.
Waandishi na media zote za mtandaoni kama vyombo vya kina Paschal Mayalla, Millard Ayo, Wasafi Media, THA Bandari, TRC Reli TV n.k kama hamuwezi kuna watanzania wako vizuri ktk lugha ya kigeni muwatumie katika matukio muhimu na nyeti
Siku hizi wanatangaza hadi za Chadema.....wamefika mbali mno.19 March 2024
Dar es Salaam, Tanzania
A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES.
View: https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
Inamilikiwa na nani mkuu?Siku hizi wanatangaza hadi za Chadema.....wamefika mbali mno.
Chadema ni kama maji.
Ukitaka kufanikiwa toa ushirikiano nao.
Congrats Global Tv
Yule jamaa aliyezulumiwa pesa zake za ku print Tshirt za chama amewashtukia wanamtumia tu.
shigongoInamilikiwa na nani mkuu?
OKshigongo
Kifo cha Chuma kwakweli there is something behind they try to hide... But God is bigger than anything,, iam sure that, time will tell...19 March 2024
Dar es Salaam, Tanzania
A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES.
View: https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
Mwandishi wa Ijumaa weekenda na Risasi MchanganyikoInamilikiwa na nani mkuu?