Elections 2010 Hongera halima mdee

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Hongera mdee. Nami nimesikia redio one.

Chadema wabunge zaidi 20...good.
 
yap mdee nae kidedea honera sana dada, mkapambane vyema umeonyesha ujasiri kusimama alone na kugombea na si kupewa.congrats
 
Ni kweli dada yetu Halima James Mdee kachukua kawe,jamani naomba mlio karibu nae mmwambie hivi wana makongo juu tunahitaji barabara ya kutoka corner ya chuo cha ardhi mpaka makongo juu ambayo Rita Mlaki alisema hawezi kuitengeneza kwa sababu makongo hawana impact yeye huwa anashinda kutokana na kura za kawe sasa tumeshikisha adabu kwa kuwaonyesha sisi tutawajibu kwa kuwa vote out.Halima sikiliza shida za wana makongo juu nasi tutakupa na kukupa na kukupa kura mpaka useme basi.......................Bravo Halima
 

hahaha mshaanza kuwasilisha matatizo yenu safi sana
 
hongera saaaaaana Halima Mdee umedhihilisha inawezekana play your part
 
nimefurahi umemshinda yule shangingi wa mafisadi angela kizigha, ni mwananfunzi wangu nimefundisha darasani lakini ni pashkuna la kutupa. aendelee na upashkuna wake na zombe atuache kawe tufanya kazi
 
saa ya ukombozi ni sasa.. big up mdee
 
Congrats dada Halima Mdee, wewe ni mbunge wangu, I am so pride kuwa na mbunge makini kama wewe, jamani tuwasaidieni na wale wa vijijini waangaziwe waondoke chini yakivuli cha Chama Cha Magumashi.
 
Congrats dada Halima Mdee, wewe ni mbunge wangu, I am so pride kuwa na mbunge makini kama wewe, jamani tuwasaidieni na wale wa vijijini waangaziwe waondoke chini yakivuli cha Chama Cha Magumashi.

Ninafurahi sana kwamba unaniwakilisha katika Bunge hongera sana Halima. Umefanya kampeni nzuri na kuweza kutoa pigo moja pigo lenye nguvu na pigo takatifu. Ni jimbo lenye changamoto nyingi na watu wenye hali nzuri na mbaya za kimaisha, hivyo kazi ipo lakini pamoja tunaweza na tutalibadilisha. Kafanye kazi si tu kwa ajili ya Wanakawe bali pia Tanzania nzima. Huo ndio ubunge tunaoutaka.
 
Hongera sana halima james mdee kwani umekuwa mbunge wa jimbo langu....walikuwa wanamtumia mbatia kutaka kuchakachua lakini wamelegea walifikiri walichomfanyia kippi warioba watakifanya kwetu...tumeshinda..karibu beer tupo jogoo..art gallery...tunajipongeza baadae tutakuwa decca in mpaka asubuhi.
 
Hongera Halima Mpiganaji

Katuondolee wakuu wa wilaya. wanakula pesa ya bure
 
Hongera sana Halima Mdee!!
Nenda kafanye kazi mama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…