Hongera Harmonize amekuwa msanii wa pili bongo kufikisha viewers 10,000,000 katika youtube account

Subiri wanakuja,wanakuletea ushahidi wa jinsi alivyonunua views. Lakini ukiwachunguza kwa sana,utagundua kuwa kumbe sababu ni kubuma kwa kajiandae.
We jamaa kwa diamond watakuua tu ....
 
Kenya nyimbo ya 2 kuangaliwa ni huo wakwanza ni Salome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…