Hongera Harmonize kwa hii nyimbo (Matatizo)


Ukiisiliza hii nyimbo ni ile Bongo Flava ya ukweli. Sikiliza inapoanza kile kinanda kinanikumbusha ile Bongo Flava ilipokuwa inaanza kuvuma. Ukija kuanzia kwenye 0:18 kachukua melody za Binti Kiziwi sikiliza kwa makini kwenye kuanzia kwenye 3:14 gitaa lilovyochalazwa. Hii nyimbo nzuri sana na maudhui yako powa.

Halafu nimegundua kitu kimoja Watanzania wanaguswa sana na nyimbo za Huzuni/Mateso na Mapenzi. Utakumbuka nyimbo za Daz Nundaz pia Diamond/ Kiba za mapenzi.
 
Mleta uzi rekebisha heading sio kwa hii nyimbo ni kwa huu wimbo....kiswahili lugha ta taifa
 
Harmonize ni kipaji... Nimemuelewa sasa.
 
SIO NYIMBO NI WIMBO
 
Mkuu ni Kitu gani kinakosekana ili ushauri ufanyiwe kazi kwa malengo ya kuboresha
 
tuna kila sababu ya kuitangaza bobgo flavor yetu tuachane ule unanaijeria... safi hamonize nimekuelewa sasa..
 
Tatizo moja tu huyu dogo anamuiga diamond unaweza sema huu wimbo ni yeye ndo kaimba copy and paste wcb bwana haha #nawacheka kwa dharau
Unawacheka kwa dharau wenzio yao yananyooka
 
Ni wimbo sio nyimbo. Ila ni mzuri.
 
Kweli mkuu nyimbo ya mwisho na ya kwanza kuipenda ya damond ni je utanipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…