Hongera Harmonize kwa hii nyimbo (Matatizo)

mpaka sasa hakuna nyimbo mbaya iliyotoka wcb sijui we huw unasikiliza rmx za wasanii waliofanya cover za wcb sijui
 
hongera kwake kazi nzur,I appreciate that song alot
 
Aisee... Hatari tupuu. Hongera kwake...
 
Nyimbo - wingi_songs
Wimbo-Umoja_song.

#Zimaaaaaaaaaaaaaaaa
 
N papa wemba ft diamond sio diamond ft papa wemba so wcb hawahusiki n lini nyimbo kutoka
 
Wapie ndo nn [emoji12] Sasa wimbo wa papa wemba wcb wanahusikaje n producer wakati wimbo umefanyika paris inaonekana unaujua mziki kuliko papa wemba anza kuimba n ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…