Hongera Harmonize kwa hii nyimbo (Matatizo)

Tatizo pekee kwenye nyimbo hiyo,sehemu kubwa ameimba bila mshindo!Eti kwenye chorus tu ndio unasikia mshindo wa ngoma!
 
Aiseee,nyimbo ya harmonize matatizo ni bonge la nyimbo hakika kijana anajitahidi sana me kwa hii nampa 100%..Vp wenzangu mnampa % ngapi?
 
Mkuu screpa i didn't say so,100% means perfect na kitu cha namna hiyo hakiwezekani la kwa Mungu pekee
Hata mwalimu mwenye kujiamini miaka ya 70 kuteremka asingeweza kukupa 100% kirahisi hata kama umefaulu mtihani mzima atakupa 99.99% atasingizia hata mwandiko mbaya au hakuna nukta na Coma vinginevyo ataona ume mdhalilisha.
 
Mm sio mdau wa bongofleva ila niliposikia huo wimbo nilijua ni wa diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…