Hongera hemed morrocco

olekamaru

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
78
Reaction score
74
Kocha huyu kaifikisha Zanzibar heroes fainali ya challenge.kila LA heri waweze kubeba kombe
 
Vijana wanaelewa wanachokifanya.huku Tzbara ni Siasa tu kila mahali.Haki ya mungu siasa haitaicha Tzbara salama.Hongereni ZNZ fanyeni yakwenu achaneni na huu ujinga wa wa BARA.
 
Taratibu ya wanzanzibari kukuza soka ya watoto hatimaye inazaa matunda. Hongera Zanzibar. Zanzibar shall not die.
 
Mr English wetu kaja na mfumo wa diamond karanga
 
Bonanza...uganda bila ya Okwi..Tanzania bara bila ya Samatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…