Kumbe anajua kura za aina hiyo zipo na zimewahi kutumika. Vizuri. Lakini hayo ni maneno matamu kwani aliyeshika mpini si yeye ni JPM na watu wake.Hongera sana kwa kuutangazia umma wa Tanzania kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi, ni sawa kwa kuanza kuwatahadharisha wanaopanga kukuharibia pepo yako, ama hapo umetoa kauli nzuri ambayo Inshaallah isiwe na shaka ndani yake.
Kwa nyomi lile la Maalim. Nahapo ni Unguja makao ya CCM.Hongera sana kwa kuutangazia umma wa Tanzania kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi, ni sawa kwa kuanza kuwatahadharisha wanaopanga kukuharibia pepo yako, ama hapo umetoa kauli nzuri ambayo Inshaallah isiwe na shaka ndani yake...
Mtu wa bara hawezi kuwa Rais wa Zanzibar Mkuu ni katiba ya SMZ inasema hivo sio maneno yangu. Baba ake amekuwa Rais wa Zanzibar maana yake na yeye ni Mzanzibari.Yeye anawekwa na CCM. Atake asitake kwa sababu yule ni MTU wa bara
Yule ni mbara. Zanzibar ni koloni LA tanganyikaMtu wa bara hawezi kuwa Rais wa Zanzibar Mkuu ni katiba ya SMZ inasema hivo sio maneno yangu. Baba ake amekuwa Rais wa Zanzibar maana yake na yeye ni Mzanzibari.
No comment comrade.Yule ni mbara. Zanzibar ni koloni LA tanganyika
Alipindua vipi wakati Rais alikuwa Kikwete ?Yule Mzee aliyepundua matokeo ya Wazanzibar 2015 ametangulia mbele ya haki kule lupaso Masasi, sidhani kama kuna mtu mwingine wa kuzuia matokeo ya Maalim Seif.
🤣 🤣 🤣 hilo nalo neno. Atakayeiba sio yeye, kura wanaibwa waliomtuma kugombea wakisaidiwa na "jecha" wao ambaye anateuliwa na raisi aliyepo madarakaniUlishawahi kuona au kusikia mwizi akisema hizi ni mali za wizi?