Zanzibar 2020 Hongera Hussein Mwinyi kuutangazia Umma kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi

Sawa mkuu kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia hata kama wewe ni uvccm
Hilo halina ubishi kamanda, ila ushindi kwa Pombe ni lazima kama kufa kwa binadam.. tukutane 28 OCT.😎
 
Hilo halina ubishi kamanda, ila ushindi kwa Pombe ni lazima kama kufa kwa binadam.. tukutane 28 OCT.😎
Kwa kutumia haki uliyo itumia basi nami nasema hivi piga ua Lissu ndiye rais ajaye
 
Aache UNAFIKI akitangazwa kashinda atakataa?
 


Kakutangazia wewe au alitangaza kupitia Redio na TV za Giningi ??
 
Mtu wa bara hawezi kuwa Rais wa Zanzibar Mkuu ni katiba ya SMZ inasema hivo sio maneno yangu. Baba ake amekuwa Rais wa Zanzibar maana yake na yeye ni Mzanzibari.
Kwa kifupi tu Dr Hussein Mwinyi amewekwa kwa mapenzi na faida ya watawala
 
Zile kauli za JPM ni ushahidi, Lissu ameshaukusanya kuendelea na mbele katika kutafuta haki yake.
 
Akikubali na kusimama na msimamo huo. atatokea kuheshimika sana katika jamii na atakuwa muungwana kuliko maraisi wote wa CCM waliopita zanzibar. Historia atayoweka zanzibar atakubalika miongoni mwa jamii yetu. Raisi Shein na Sefu Ali Iddi ni katika viongozi wanao nuka zanzibar wala hawana thamani yoyote kwa wazenji.
 
Lazima atasukumizwa tu na wazee wa kijani kibichi. Alisukumizwa ndio Shein swala tano licha ya kukataa katakata dhuluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…