Nilimwona Maalimu Seif, mgombea Urais Zanzibar kwa ticket ya ACT Wazalendo wakati wanampokea huko Zanzibar nikastushwa sana na afya yake ilivyodorora.
Alinikumbusha kuhusu afya ya Lowasa ilivyokuwa wakati anagombea Urais mwaka 2015.
KIpindi kile cha uchaguzi wa mwaka 2015, Afya ya Lowasa ilipunguza sana kura zake.
Kama Lowasa tulivyokuwa tunamfahamu angekuwa na afya njema hakika angeweza kupata kura nyingi kumzidi Mh, Dr. Makufuli.
Afya ya Maalimu Seif itampunguzia kura sana kwa sababu hakuna sababu ya Inchi kuongozwa na mzee goi goi ambaye atafanya kazi kwa kuagiza.
Hakika Maalimu Seif wakati anaongea hata sauti ilikuwa haitoki vizuri kama ilivyokuwa ya Lowasa.