Hongera Idris Sultan

Watanzania wengi atuna kazi za kufanya mtu unashinda kwenye mitandao kuhamasisha maandamano wewe ambae unahamasisha maandamano uendi kuandamana
 
Yako wapi?? Yanakuwa yanakuwa mbona hayawi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha ina view 23,500 na Like 1!.. Usicheze na wabongo wewe![emoji23].
Video ikiwa posted Instagram huwezi ona idadi ya likes utaona views tu, na like za watu uliowafata(following). Anayeweza kuona idadi ya likes ni mwenye account husika.
Mfano hapo Idris anaweza kuona likes zote na watu walo like. Tukija upande wa picha sasa, sisi external tunaweza ona idadi yote ya likes, na baadhi ya watu walo like. Mfano liked by and idadi kadhaa ya walo like. Mwisho, tembelea Instagram yako kujiridhisha na nilichokisema hapa.[emoji3]
 
Nashukuru kwa elimu!.
Lakini kama Nelly kashindwa ona like za Idriss imekuaje sisi tumeona like za Nelly!?..
Me sina Instagram account!.. Enzi hizo nilikuwa na marafiki.com pekee!😀
 
Bora umemjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…