Duu nimesahau bweni langu kamanda nyuma ya uluguru kupita kwenye chamber za underground .msaada plsMwenyekiti wa bavicha Taifa J.J Pambalu
Nae ni zao la Ihungo..
Umenikumbusha back in Time Headquarters ya Ihungo Elgon 12
Slogan ya shule mastery for Services
School song:
On the shore of Lake victoria stand Ihungo school...
Oooh yes kambi Yangu ni Meru .bweni moja bora kabisaMwenyekiti wa bavicha Taifa J.J Pambalu
Nae ni zao la Ihungo..
Umenikumbusha back in Time Headquarters ya Ihungo Elgon 12
Slogan ya shule mastery for Services
School song:
On the shore of Lake victoria stand Ihungo school...
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa
Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa
Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita
Achana na ushule haya ongelea Tabora boys kichwa Cha Tanzania ni wangapi waliopitia hapo.Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa
Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa
Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita
Mshirika wenu Nyakato sec.school humu ni
Nyarusare
Bbujibuji
Huyu mzee wa MsatA nnani vile?
Piicchukodada
Misana
Ongeza wenginee
Hizi shule ziko karibu
Mshana anaitwa hivi muhaya huyuMshirika wenu Nyakato sec.school humu ni
Nyarusare
Bbujibuji
Huyu mzee wa MsatA nnani vile?
Piicchukodada
Misana
Ongeza wenginee
MsgHizi shule ziko karibu
Kasome na wewe uje kuwa Rais !!Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa