Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Apr 1, 2011 #1 endeleza libeneke pande hizo za obama kama kawa.
aye JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 2,102 Reaction score 709 Apr 1, 2011 #2 nnawasiwasi na taarifa hizo hasa leo ilikuwa tar 1 april foolish day
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Apr 1, 2011 Thread starter #3 habari za kweli kaka...amepata shavu hilo baada ya kumrithi juma nkamia ambaye ni mbunge wa kondoa hivi sasa
habari za kweli kaka...amepata shavu hilo baada ya kumrithi juma nkamia ambaye ni mbunge wa kondoa hivi sasa
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Apr 1, 2011 #4 Msarendo said: endeleza libeneke pande hizo za obama kama kawa. Click to expand... Mkuu mbona unauzi sana.....nimechukua muda wangu kufungua hii thread kumbe ni upuuzi mtupu... Kwanza ujaeleza ni kazi gani kapata huko USA Pili unaonekana ni mtu usiyetaka kutumia kiswahili sanifu......mfano libeneke..pande za Obama what is this? Rubbish...
Msarendo said: endeleza libeneke pande hizo za obama kama kawa. Click to expand... Mkuu mbona unauzi sana.....nimechukua muda wangu kufungua hii thread kumbe ni upuuzi mtupu... Kwanza ujaeleza ni kazi gani kapata huko USA Pili unaonekana ni mtu usiyetaka kutumia kiswahili sanifu......mfano libeneke..pande za Obama what is this? Rubbish...
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Apr 1, 2011 #5 jamani sio mambo ya upuuzi wa tar 1,kama kweli hongera Ankali kwa shavu.
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Apr 1, 2011 #6 Ankal aula! ahamia voice of america jijini washington DC, Marekani, apangwa kuripoti toka White House...
Ankal aula! ahamia voice of america jijini washington DC, Marekani, apangwa kuripoti toka White House...
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,273 Apr 2, 2011 #7 Hebu malizia story bana ndo nini sasa hiyo sijaelewa kabisa
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,404 Apr 8, 2011 #8 hongera michuzi
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,122 Reaction score 4,060 Apr 8, 2011 #9 ..Thibitisheni hii Story. Ama yalikuwa mambo ya April Fool? (mwenyewe!)