Uache ubongo wako ufanye kazi bila kuuelekeza vibaya na utapata afya ya akili.Kesi kama za Lissu ni za maelekezo, haya mabadiliko hayatazisaidia chochote kesi za kisiasa.
Huo muda wanaoutumia kuwakamata wakina Lissu na wenzake kila wakati na kuwahangaisha mahakamani kama ungetumika kwenye kesi nyingine za kweli unafikiri kesi zingepungua kiasi gani??Kwa nini Masheikh wa uamsho walikaa magerezani kwa miaka na miaka bila hukumu??Uache ubongo wako ufanye kazi bila kuuelekeza vibaya na utapata afya ya akili.
Kuna watu wana mashauri huko Court of Appeal tokea 2022 hawajapangiwa kusikilizwa. Itakuwa Lissu mwenye kesi ya May 2025??
Be serious hata kama wewe ni mwana CHADEMA
Acha kukurupuka, sikiliza tena hiyo link kwa utulivu. TCA Kanda maana yake vikao vya majopo ambapo Majaji wanatoka Malao Makuu.Enyi Wajinga TCA kanda Zilikueopo Taangu miaka ya 1980’s
NB: Kesi ya Jinai TCA inasikilizwa na Majaji watatu
Yaani unaandika ujinga in bold and green font? Hizi ndizo zile confidence za kipumbavu!Enyi Wajinga TCA kanda Zilikueopo Taangu miaka ya 1980’s
NB: Kesi ya Jinai TCA inasikilizwa na Majaji watatu
Ndo watanganyika wenzio hao!! Ujuaji mwiiingi uliojaa upumbavuYaani unaandika ujinga in bold and green font? Hizi ndizo zile confidence za kipumbavu!
Yaani unaandika ujinga in bold and green font? Hizi ndizo zile confidence za kipumbavu!
Nyi Makuma mlikua hamjui kuwa TCA ilikua na Kanda taangu miaka ya 1980’s?????Ndo watanganyika wenzio hao!! Ujuaji mwiiingi uliojaa upumbavu
Utter nonsense! Hivi umesoma na kuelewa kilichoandikwa?Nyi Makuma mlikua hamjui kuwa TCA ilikua na Kanda taangu miaka ya 1980’s?????