Hongera Mh. Jaji Mkuu, lakini imani ni ndogo.
Kwa nini nasema hivi? Kwa nini alikuweka "benchi"? Waswahili wanasema: IF YOU WANT TO BEFRIEND A LION, JUST STARVE IT", baada ya siku saba, mtupie kambuzi. Anakuona mkombozi na hawezi kukudhuru. Litafakari hilo.
Hongera Jaji Mkuu wetu.
Moderators, iache hii ijitegemee. Inabeba ujumbe , msiiunganishe for wider visibilit