Hongera Jamii Forums kwa elimu na burudani

Hongera Jamii Forums kwa elimu na burudani

mtz daima

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,561
Reaction score
579
Hodi hodi humu ndani kwa shairi naingi, salamu kwenu wapendwa wakubwa hata wadogo. Nakuomba Maulana bariki waanzilishi, hongera jamii forums kwa elimu burudani.

Siku saa zimepita dakika hata sekunde, kusoma nyuzi za wenzangu uzoefu nimepata. Sheria tazingatia wakubwa kuwaheshimu. Hongera jamii forums kwa elimu burudani.

Majukwaa ya Siasa MMU na elimu, science technolojia naomba mnipokee. Hoja zenu kebekebe miss chaga Pasco yeriko, Hongera jamii forums kwa elimu burudani.

Tamati nimefikia siwezi wataja wote, tuvumiliana wapendwa kwa hoja tushindaneni. Uzalendo uwe ngao amani tuidumishe, hongera jamii forums kwa elimu burudani.

Naomba mnikarishe
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana wakuu nategemea mtanilea vizuri
 
Back
Top Bottom