basi hizo takwimu siyo sahihi na wala hazi reflect kipato cha watanzania wengi wa kawaida hasahasa wa vijijini.!
Mimi siwezi kutamba kwamba umaskini umepungua kwa wachukua watu wanaolipwa lets say milioni 50 kwa mwaka na nikawachanganya na wale ambao hata kipato kwa mwaka hawakijui ......ukizingatia hawa wasio na kipato au wenye kipato kidogo ndiyo wengi.Kachukue GDP ya Tanzania ya 2010 gawanya kwa total number of population ya Tanzania ndio unapata GDP per capital . sielewi vp watu wengine wanabeza mafanikio haya wakati China pamoja na kuwa nchi Tajiri duniani na nchi ya pili kwa ukubwa duniani kuna karibia watu 1 Billion wanaoishi katika umaskini na less than dollar a day? Despite China GDP per capital is $7,500 ndogo kuliko hata Jamaica, South Africa. Kila kitu taratibu mafanikio hayaji siku moja wakuu.
Mimi siwezi kutamba kwamba umaskini umepungua kwa wachukua watu wanaolipwa lets say milioni 50 kwa mwaka na nikawachanganya na wale ambao hata kipato kwa mwaka hawakijui ......ukizingatia hawa wasio na kipato au wenye kipato kidogo ndiyo wengi.
Mkuu , inawezekana kuwa na pato la dogo usd 1000 per person lakini umaskini wa mtanzania wa kawaida ukawa mdogo kuliko sasa hivi?
nasikitika kuwa kwa bahati mbaya uhalisia wa maisha ya watu haupimwi na per capital income tu coz ina weaknesses kibao kamaLeo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.
[TABLE="class: tblrank"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]1980[/TD]
[TD]386.55[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1981[/TD]
[TD]414.732[/TD]
[TD]7.29 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1982[/TD]
[TD]426.696[/TD]
[TD]2.88 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1983[/TD]
[TD]426.078[/TD]
[TD]-0.14 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1984[/TD]
[TD]430.428[/TD]
[TD]1.02 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1985[/TD]
[TD]446.878[/TD]
[TD]3.82 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1986[/TD]
[TD]466.753[/TD]
[TD]4.45 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1987[/TD]
[TD]493.534[/TD]
[TD]5.74 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1988[/TD]
[TD]523.028[/TD]
[TD]5.98 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1989[/TD]
[TD]545.079[/TD]
[TD]4.22 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1990[/TD]
[TD]590.038[/TD]
[TD]8.25 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1991[/TD]
[TD]604.439[/TD]
[TD]2.44 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1992[/TD]
[TD]603.421[/TD]
[TD]-0.17 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1993[/TD]
[TD]605.429[/TD]
[TD]0.33 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1994[/TD]
[TD]609.349[/TD]
[TD]0.65 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1995[/TD]
[TD]625.718[/TD]
[TD]2.69 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1996[/TD]
[TD]648.205[/TD]
[TD]3.59 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1997[/TD]
[TD]664.841[/TD]
[TD]2.57 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1998[/TD]
[TD]678.292[/TD]
[TD]2.02 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1999[/TD]
[TD]705.837[/TD]
[TD]4.06 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2000[/TD]
[TD]731.92[/TD]
[TD]3.70 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2001[/TD]
[TD]772.655[/TD]
[TD]5.57 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2002[/TD]
[TD]824.678[/TD]
[TD]6.73 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2003[/TD]
[TD]882.455[/TD]
[TD]7.01 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2004[/TD]
[TD]942.2[/TD]
[TD]6.77 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2005[/TD]
[TD]1008.924[/TD]
[TD]7.08 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2006[/TD]
[TD]1094.444[/TD]
[TD]8.48 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2007[/TD]
[TD]1180.847[/TD]
[TD]7.89 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2008[/TD]
[TD]1269.725[/TD]
[TD]7.53 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2009[/TD]
[TD]1342.299[/TD]
[TD]5.72 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2010[/TD]
[TD]1416.863[/TD]
[TD]5.55 %[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pia graph hii inaonyesha kwa urahisi zaidi click link hii hapa:-
Tanzania GDP - per capita (PPP) - Economy
Nakupongeza Rais wetu JK kwani ukuaji wa GDP umekuwa mkubwa kuanzia 2005- kuendelea despite turbulent economic pressure from the West in 2008-2010. Ila kuna mambo yanahitajika kuendelezwa mfano distribution of this wealth needs to reach mwananchi wa kawaida wa nchi yetu naye aone kuna mabadiliko.
Tanzania imetoka nafasi ya chini kuwa nchi ya tatu kwa umaskini duniani kuwa nchi ya 51 kwa umaskini duniani and still climbing. We are 24th poorest nation 2 step behind Kenya and projected that by 2014 we shall surpass Kenya to be wealthiest nation in East Africa. Tunahitaji pia mabadiliko katika sarafu ya nchi iendane na ukuaji huu wa uchumi wa Tanzania. Kudos JK kwa kazi nzuri steam on!
Halafu nenda sokoni ukanunue sukari na unga. Pita pale bucha ukanunue kilo tatu za nyama. Na bado hujanunua maziwa na gharama za daladala au petroli ya kukufikisha kazini. Linganisha hizo takwim, ukianzia mshahara wako wa leo na wa 1981 na purchasing power yake ndipo urudi hapa kutoa hongera.Wakuu hizo namba zisiwandanganye hata kidogo. Ukitaka upate hali halisi ya mambo jaribu kuangalia thaman ya dola against Tsh, kwa miaka hiyo ya 1980's na hii ya sasa.
Halafu soma takwimu upya, utatambua kuwa tunapiga mark time. Leo hii 1$ = 1680 Tsh (ni hatari!)
Swali lilitakiwa liwe je serikali ya CCM inataka mabadiliko? Watanzania wanachapa kazi sana ndugu yangu...kuna akina mama wanaamka saa 9 za usiku kwenda kutafuta mboga za kuuza..akitoka hapo ni kazi mpaka usiku! hivi huwa unaona vijana wangapi vijiweni wana nguvu zao lakini kazi hakuna..? nimekaa sana kwa wenzetu walioendelea yaani mkuu...watu wanafanya kazi viwandani hambazo hazihitaji taaluma yeyote yaani ni kujua kusoma na kuandika tu lakini wanalisha familia na mambo mengine...! tusijilinganishe sana kama hawa walioendelea ..ila ni kweli vijana wa kitanzania hata wale ambao hawajasoma wangeweza kutoa mchango wao kama tungekuwa na viwanda zaidi ya hvi tulivyonavyo....!Ondoa kabisa hiyo mentality ya ki CCM kuwa watanzania ni wavivu wakati fursa zote vigogo wamezibana!Mkuu,
Tuwe mkweli hata wewe ungelipewa nchi siku moja ungelibadilisha kila kitu siku moja. Anyway as much as I do not agree with our president on the issue of corruption in this country of ours I congratulate him for this. Masuala mengine kama serikali ikiwa makini yatasimama in due course. Jana nimesikia wabrazil wamekubali kuja kutusaidia kuanza ujenzi wa Stieglers gorge (utakaotoa ajira, upatikanaji wa uhakika wa umeme). Vile vile mradi wa umeme na gesi wa Lindi wa 1900 MW. Hebu angalia tukiweza kupata umeme wa Stiegler gorge wa 2100 MW, Gas 1900 MW, Mtera na Kidatu 500 MW, Katani NSSF 400 MW, Mchuchuma 400 MW-600 MW, Kiwira estimated 800 MW wakati mahitaji yetu ni 800 MW umeme mwengine tunaweza kuuza na kupata pato zaidi. Nchi zinazotuzunguka kama Kenya, Msumbiji, Comoro na Burundi wana uhaba wa umeme na vyanzo. Miradi ya mafuta, ujenzi wa viwanda vya cement ajira ziko nyingi mkuu hali ya mtanzania itaboreka ipe muda. Wasiwasi wangu ni je watanzania wako tayari kwa mabadiliko hayo maana sisi maneno mengi kufanya kazi wengi wetu hatutaki tunataka mambo haraka tunabakia kulalamika kila siku.
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.
Nakupongeza Rais wetu JK kwani ukuaji wa GDP umekuwa mkubwa kuanzia 2005- kuendelea despite turbulent economic pressure from the West in 2008-2010. Ila kuna mambo yanahitajika kuendelezwa mfano distribution of this wealth needs to reach mwananchi wa kawaida wa nchi yetu naye aone kuna mabadiliko.
Tanzania imetoka nafasi ya chini kuwa nchi ya tatu kwa umaskini duniani kuwa nchi ya 51 kwa umaskini duniani and still climbing. We are 24th poorest nation 2 step behind Kenya and projected that by 2014 we shall surpass Kenya to be wealthiest nation in East Africa. Tunahitaji pia mabadiliko katika sarafu ya nchi iendane na ukuaji huu wa uchumi wa Tanzania. Kudos JK kwa kazi nzuri steam on!
nasikitika kuwa kwa bahati mbaya uhalisia wa maisha ya watu haupimwi na per capital income tu coz ina weaknesses kibao kama
Per Capital Income is usually used as a national wealth indicator, especially when measured in a commonly used currency, it has several weaknesses however:
1) Economic activity that does not result in monetary income (such as homemaking and some artistry) is not counted in per-capita income measurements, although the magnitude of this effect varies widely from country to country.
2) The distribution of income is not gauged accurately in per-capita income measurements. This means that outliers within the population (the extremely wealthier or indigent) can have a disproportionate effect on the overall outcome.
3) Varying exchange rates between countries means that a given amount of money will have different value in different places, thus Per Capita Income offers imperfect comparison's country to country, and may be most relevant comparing different years within a single country, when controlled for inflation
anywas kaka uchumi si namba tu kaka ila pia kuna mambo kibao ya kutazama hebu cheki mfumuko wa bei leo' cheki thamani ya sarafu yetu leo halafu cheki maisha ya lleo ya watanzania wengi
Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.
Kwanza nikuombe msamaha kwa sababu unajichanganya na maneno, pili unaushabiki kwa mtu (JK) disaster katika historia ya Tanzania,
Nije kwenye mada. Katiba yetu ina vifungu muhimu kwangu viwili mamlaka ya utawala unatokana na wananchi, rasilimali itaelekezwa kuwafaidisha wananchi. Mamlaka ya JK yanatokana na wizi wa kura, mafisadi na sheria za uchaguzi zinazokataza rais akitangazwa asipingwe mahakamani. Licha ya wizi, kura halisi alizopata mathematicaly and moraly ni 10% na JK anajua. Ndiyo maana nimekerwa na pongezi zako kwa asiyestahili.
Pili chunguza sana hilo pato, wewe mwenyewe umejijibu kuwa halina mgao sawa. Elewa wanaopandisha hilo pato ni maswahiba wa JK wanaokwapua rasilimali za taifa kwenye madini, dowans, songas hata sukari inayozalishwa viwandani mwetu kwa ajili yetu. Hiyo ndiyo maana hata uchumi unavyodai unakuwa hauna faida kwa mwananchi wa kawaida ambaye inabidi apewe msaada wa chakula kama rushwa hususan wakati wa uchaguzi wa Igunga.
Mwisho nakuomba ukue kidogo, achana na mtazamo wa kumuangalia kiongozi kama ndiye mwenye credit ya mafanikio na matatizo, angalia mfumo unavyogawanya uwajibikaji na majukumu yenye tija kwa nchi.
UMENI _"BORE STIFF"
Mimi nina swali moja. Sh. 386.55 mwaka 1980 ilikua inaweza kununua nini na Sh. 1416.863 inanunua nini?
Nauliza hivi kwa sababu kwa uelewa wangu mimi mwaka 1980 Sh. 386 kwa mwaka unaishi maisha ya kuridhisha tu ila leo hii mshahara au kipato cha Sh. 1416 kwa mwaka unatosha mtu kuishi maisha ya kuridhisha?
What is the buying power of our currency now?
I know and that is why nimesema bado kwani mfano statistics zinaonyesha hivi:-
Thamani ya shillingi Tanzania against one US dollar
Year GDP US dollar exchange rate:-
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]1980[/TD]
[TD]45,749[/TD]
[TD]8.21 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1985[/TD]
[TD]115,006[/TD]
[TD]17.87 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1990[/TD]
[TD]830,693[/TD]
[TD]195.04 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1995[/TD]
[TD]3,020,501[/TD]
[TD]536.40 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2000[/TD]
[TD]7,267,133[/TD]
[TD]800.43 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2005[/TD]
[TD]13,713,477[/TD]
[TD]1,127.10 Shillings[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2010[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]1,515.10 Shillings[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Utaona shillingi yetu inaporomoka mno kupita kiasi kufanya hali ya maisha iwe ngumu nchini ( from 1$: 8 Tshs to 1$ : 1515 Tshs ). Sababu moja wapo kuu ni uzalishaji kudorota kutokana na upatikanaji hafifu wa nishati ya umeme. Serikali ya Tanzania ikifanikiwa kutatua tatizo la umeme haraka iwezekanavyo uchumi utasimama tena. Isitoshe utumiaji wa fedha za kigeni kwa wingi nchi nao umechangia tungeliweza kuweka policy ya kuzuia utumiaji huu wa fedha za kigeni nchini mambo labda yangelikuwa tofauti. Pia mapato ya madini yaongezeke ushauri wangu tubakie na huo mrahaba 3 ikibidi lakini serikali iwalazimishe makampuni ya madini yaweyamejisajili hapa ili kodi kama za corporation tax, capital gain, PAYE ziongeze pato la nchi. Vile vile kampuni za kigeni zikiwa listed nchini watanzania wataweza kuwekeza na kuliongozea pato nchi through kodi. Pia iboreshwe miundo mbinu ya nchi kama barabara ili kupunguza gharama za maisha za mtanzania na kutoa nafasi za kazi. Hivyo kuna mambo mengi yanaweza kufanyika kuboresha maisha. This is a success to me kwa JK ijapokuwa sikubaliani naye katika suala zima la ufisadi nchi but hapa nampongeza sana tu hongera as a step forward!!!
Bora wewe unazielewa ila huzielewi vizuri, mimi sizielewi kabisa. Kipimo kilichotumika cha GDP per capita income sio realistic sana kwa third world countries. Kwa mtazamo wangu naona kupanda kwetu, inawezekana kuwa nchi zilizokuwa na hali nzuri kiuchumi zimeanguka zaid ya tulipokuwa sisi maana sioni jitihada zozote ambazo zinafanywa na JK ukasema zinalenga kwenye kukuza uchumi, labda kama huo uchumi umekuwa kwa kibahati bahati tu tukajikuta tupo hapo tulipo. Kiongozi wetu hana strategies zozote za kukuza uchumi, anayezifahamu atuambie hapa.Taifa letu lina watu 45 mil, tuambie kuna watu wangapi wanaolewa hizo number? Hata mimi sizielewi vizuri!
ni kweli kwamba serikali ya jk imefanya baadhi ya mambo mazuri lakini tulikuwa na uwezo kufanya vizuri zaidi.
thats right bt kumbuka kuwa sasa ni miaka 50 tangu uhuru.....we'r 15 years back from where we were supposed 2b at the present.....unadhani jk na chama chake cha mafisadi wapewe miaka mingapi zaidi ili watufikishe japo kwenye uchumi wa India! wamefika mwishio wa akili zao.....waondoke.
Nimesema nyuma,
Per capital income ni estimation ya annual income of a Tanzanian. Kwanza figures zote hapo zipo interms of USD sielewi exchange rate inahusika vipi hapo katika measurement of GDP per capital income.
Pili umezungumzia distribution of income yes indeed Tanzania has one of the highest unequal of distribution of income in East Africa nyuma ya Kenya na Uganda (Kenya ndio inayoongoza for unequal distribution of income). Lakini nikuulize China nchi mnayoiabudu humu JF yenyewe haina equal distribution of income je inakuwaje? Inakisiwa China 2/3 of chinese are believe to live below the poverty line lakini China ni nchi tajiri kiuchumi je mnasemaje hapo? USA hivyo uchumi wa US unamilikiwa na watu wasiozidi milioni 2-5. Hivyo kiufupi hoja ya equal distribution of income is irrelevant fanya kazi ufanikiwe wewe na familia yako ndio utaenjoy mafanikio ya uchumi wa Tanzania ukilala tu hutaenjoy hata siku moja.
Umezungumzia Inflation Tanzania inflation is among the lowest in East Africa. Inflation ya Tanzania ni among the lowest. Uganda inflation is 22%, Kenya 17.3%, Tanzania 14.1%. Factors nyingi tumezitoa hapo kama uhaba waumeme, high oil prices, economic recession which altogether brings together pressure to food, energy and other commodity prices.
Kuhusu haireflect katika maisha ya watanzania mtaani kama nilivyosema hapa juu hali ya sasa hivi ya maisha inasababishwa na vitu vingi but kikubwa ni umeme na mafuta. I expect project ya umeme wa gesi ikikamilika on time hali ya maisha itakuwa na ahueni hivyo tuvumilie.
But still our per capital income is rising tuweni watu wa shukrani wakuu.