Mkuu wangu, tunapozungumzia swala la GDP na makuzi ya uchumi sii swala la watu wachache kumiliki uchumi wa nchi yetu. Hapana! hii kitu nyingine kabisa.Kamanda Mkandara,
Mkuu wangu GDP per capital metric has got its own weakness but it remain to be strong economic indicator for economic changes and performance. Kuna mchina mmoja alikuja na model moja complicated nadhani imetupiliwa mbali kwani GDP is robust since it also takes into account the utility of consumers. Huwezi kuwa unanunua mkate kama huupendi na hivyo unavyonunua mkate inamaana umeridhika nao.
Tukirejea katika hoja yako unarudi nilichokisema mkuu kuwa distribution of income but ni kikwazo nchini kwetu. Watu wachache ndio wanamiliki uchumi wa nchi yetu. Pia wazungu wanatuibia na kuchukua baadhi ya mapato yetu la msingi ni kuziba mianya hiyo. Nashukuru umelitolea mfano Barrick kama umenisoma nyuma Barrick imekuwa listed canada na london. Kwanini wasiishinikize Barrick walist kampuni yao DSE ya Tanzania? Wakilist serikali itaweza kuwakata kodi, mishahara ya wafanyakazi wao itakatwa kodi, na pia tutapata mrahaba wanaotudanganya nao wa asilimia 3.
Ni mipango tu mkuu. Hebu niambie sarakasi ya makampuni ya mahoteli makubwa kwani serikali yetu inashindwa nini kuwadhibiti? Kila siku wanabadilisha majina kuendelea kukwepa kodi. Serikali inashindwa kuzuia mianya hiyo. Watu wanapangisha watu nyumba hawalipi kodi serikalini je unalizungumzaje? Ni mipango tu mkuu but for this hata wewe you have to acknowledge him kuwa ni mafanikio yake.
Mdondoaji,
This is what the government in Tanzania and some countries in Africa are good at....cooking data! Those data have got no value if people on ground suffer and live a miserely life.
Kuna sehemu hatutaweza kuhonga wala kudanganya ili mambo yetu yaende na unafiki utatuumbua wale tulioukumbatia kama ndio njia yetu ya kutapa maisha bora kwa kila mtanzania. Kuna kila dalili siku za kuwa accountable sio nyingi na haziko mbali sana. Naamini historia inayarekodi yote yanayoendelea na itakuwa inatupa kumbukumbu kadri tunavyosonga mbele.Aibu yao!!!
Which is analysis nusu au huelewi?
Let me make it clear our per capital income in 1980 was every person in Tanzania has an income of $386 per year. 2010 Tanzania per capital income is $1410 per person huelewi kipi?
Kuhusu exchange rate hilo swala jengine sie tunazungumzia maendeleo kwani China is the second largest economy in the World behind USA but unajua exchange rate renimbi ni bei gani:-
1$ = 6.376 Chinese yuan.
Hivyo your argument is merely pointless

,
Bwana mkubwa naona wewe ndo huelewi unachozungumzia. Ziangalie hizo data kitaalamu (siyo kama zilivyo na kuingiza siasa kwenye uchumi). Dola imekuwa ikipungua nguvu yake kwa annual rate ya 3.45%. Ukipiga hesabu hapo (tumia hata NPV formula) Dola $1410 za 2011 ni sawa na $389 za mwaka 1980. Na hata ukiangalia kwa undani zaidi hizo figure utagundua kwamba tulikuwa better off 2003 kuliko sasa. Ndiyo maana nikasema kuangalina na kuanalyze hizo data kama zilivyo ni 'analysis nusu nusu'.
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.
[TABLE="class: tblrank"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]1980[/TD]
[TD]386.55[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1981[/TD]
[TD]414.732[/TD]
[TD]7.29 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1982[/TD]
[TD]426.696[/TD]
[TD]2.88 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1983[/TD]
[TD]426.078[/TD]
[TD]-0.14 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1984[/TD]
[TD]430.428[/TD]
[TD]1.02 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1985[/TD]
[TD]446.878[/TD]
[TD]3.82 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1986[/TD]
[TD]466.753[/TD]
[TD]4.45 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1987[/TD]
[TD]493.534[/TD]
[TD]5.74 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1988[/TD]
[TD]523.028[/TD]
[TD]5.98 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1989[/TD]
[TD]545.079[/TD]
[TD]4.22 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1990[/TD]
[TD]590.038[/TD]
[TD]8.25 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1991[/TD]
[TD]604.439[/TD]
[TD]2.44 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1992[/TD]
[TD]603.421[/TD]
[TD]-0.17 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1993[/TD]
[TD]605.429[/TD]
[TD]0.33 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1994[/TD]
[TD]609.349[/TD]
[TD]0.65 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1995[/TD]
[TD]625.718[/TD]
[TD]2.69 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1996[/TD]
[TD]648.205[/TD]
[TD]3.59 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1997[/TD]
[TD]664.841[/TD]
[TD]2.57 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1998[/TD]
[TD]678.292[/TD]
[TD]2.02 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1999[/TD]
[TD]705.837[/TD]
[TD]4.06 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2000[/TD]
[TD]731.92[/TD]
[TD]3.70 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2001[/TD]
[TD]772.655[/TD]
[TD]5.57 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2002[/TD]
[TD]824.678[/TD]
[TD]6.73 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2003[/TD]
[TD]882.455[/TD]
[TD]7.01 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2004[/TD]
[TD]942.2[/TD]
[TD]6.77 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2005[/TD]
[TD]1008.924[/TD]
[TD]7.08 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2006[/TD]
[TD]1094.444[/TD]
[TD]8.48 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2007[/TD]
[TD]1180.847[/TD]
[TD]7.89 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2008[/TD]
[TD]1269.725[/TD]
[TD]7.53 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2009[/TD]
[TD]1342.299[/TD]
[TD]5.72 %[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2010[/TD]
[TD]1416.863[/TD]
[TD]5.55 %[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pia graph hii inaonyesha kwa urahisi zaidi click link hii hapa:-
Tanzania GDP - per capita (PPP) - Economy
Nakupongeza Rais wetu JK kwani ukuaji wa GDP umekuwa mkubwa kuanzia 2005- kuendelea despite turbulent economic pressure from the West in 2008-2010. Ila kuna mambo yanahitajika kuendelezwa mfano distribution of this wealth needs to reach mwananchi wa kawaida wa nchi yetu naye aone kuna mabadiliko.
Tanzania imetoka nafasi ya chini kuwa nchi ya tatu kwa umaskini duniani kuwa nchi ya 51 kwa umaskini duniani and still climbing. We are 24th poorest nation 2 step behind Kenya and projected that by 2014 we shall surpass Kenya to be wealthiest nation in East Africa. Tunahitaji pia mabadiliko katika sarafu ya nchi iendane na ukuaji huu wa uchumi wa Tanzania. Kudos JK kwa kazi nzuri steam on!
,
Bwana mkubwa naona wewe ndo huelewi unachozungumzia. Ziangalie hizo data kitaalamu (siyo kama zilivyo na kuingiza siasa kwenye uchumi). Dola imekuwa ikipungua nguvu yake kwa annual rate ya 3.45%. Ukipiga hesabu hapo (tumia hata NPV formula) Dola $1410 za 2011 ni sawa na $389 za mwaka 1980. Na hata ukiangalia kwa undani zaidi hizo figure utagundua kwamba tulikuwa better off 2003 kuliko sasa. Ndiyo maana nikasema kuangalina na kuanalyze hizo data kama zilivyo ni 'analysis nusu nusu'.
Umetumia NPV formula kwa kutumia (internal rate of retun ipi?)
So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.
mbona umekazana kutaka jamaa apongezwe????kwa lipi hasa???yaani dola 1400 za marekan ndo unahisi zinaleta unafuuu,,,tena kwa mwaka.....ondoa ujuha wako hapa,,,,hata kama si mchumi wala mtaalamu wa takwimu huwez kusema hapa kuna unafuu
Mkuu bado unatumia makosa yaleyale ya kulinganisha yale ya mwaka 1980 kwa mtazamo wa leo wakati hujui thamani ya Tshs mwaka 1980. Labda niweke hilo pato (highlighted) na tulifanye kwa mwezi..Mwaka 1980 hakuna kiongozi wala mtu aliyekuwa akipata mshahara wa Tsh 3,088 hakuna labda rais na mawaziri sina hakika, ni nyingi sana.. lakini leo hizo 662,856 ni mshahara wa kati kabisa kwa wafanyakazi (graduates) na maisha bado yatawashinda. Kwa hiyo, mwananchi wa mwaka 1980 aliyepata mshahara wa Tsh 700 robo ya pato la Tsh3,088 aliweza kuendesha maisha yake hadi akajenga nyumba na kadhalika wakati leo hii tunashindwa kuendesha maisha hadi tupewe 662,856 bado huoni kwamba hali ya maisha ya leo hailingani na pato?..Mkubwa,
Tukiziangalia kiutaalamu kwa kuargue kuwa dollar imekuwa ikidecline by the rate between 2% to 4% (According to the office of national statistics of US , 2011). Assuming you are accurate so unataka kutuambia what basis umetumia kupata NPV ya 389?
Tuseme FV=1410 PV=FV/(1+.0345)^31= $492 but hapa tunaassume kuwa Tshs iko constant nayo.
Tukiconsider Shillingi has also being depreciating utakuta still ukuaji wa $1410 ni mkubwa kwani $1 ya mwaka 1980 ni sawa Tshs 8 na hivyo $386= Tshs 3,088. Pato la sasa hivi ni $1,410 sawa na Tshs= 2,136,150.
Tuseme ni sawa na $389 je hiyo ni sawa na bei gani kwa sasa hivi= $389 x 1704 (CRDB, NBC exchange rate)) = 662, 856 je ni sawa na Tshs 3,088 ya 1980. Msitake kubeza vitu kwa matakwa yenu ya kisiasa.
Still I stand to my point he deserve congratulation.
Kwa maelezo yako hayo J.K. wako tumpongeze kwa lipi?Kamanda Mkandara,
Mkuu wangu GDP per capital metric has got its own weakness but it remain to be strong economic indicator for economic changes and performance. Kuna mchina mmoja alikuja na model moja complicated nadhani imetupiliwa mbali kwani GDP is robust since it also takes into account the utility of consumers. Huwezi kuwa unanunua mkate kama huupendi na hivyo unavyonunua mkate inamaana umeridhika nao.
Tukirejea katika hoja yako unarudi nilichokisema mkuu kuwa distribution of income but ni kikwazo nchini kwetu. Watu wachache ndio wanamiliki uchumi wa nchi yetu. Pia wazungu wanatuibia na kuchukua baadhi ya mapato yetu la msingi ni kuziba mianya hiyo. Nashukuru umelitolea mfano Barrick kama umenisoma nyuma Barrick imekuwa listed canada na london. Kwanini wasiishinikize Barrick walist kampuni yao DSE ya Tanzania? Wakilist serikali itaweza kuwakata kodi, mishahara ya wafanyakazi wao itakatwa kodi, na pia tutapata mrahaba wanaotudanganya nao wa asilimia 3.
Ni mipango tu mkuu. Hebu niambie sarakasi ya makampuni ya mahoteli makubwa kwani serikali yetu inashindwa nini kuwadhibiti? Kila siku wanabadilisha majina kuendelea kukwepa kodi. Serikali inashindwa kuzuia mianya hiyo. Watu wanapangisha watu nyumba hawalipi kodi serikalini je unalizungumzaje? Ni mipango tu mkuu but for this hata wewe you have to acknowledge him kuwa ni mafanikio yake.
So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.
Hoja yako ingekuwa na maana km data hizo hapo juu zingekuwa zimetolewa kwa Tshs ila zimetolewa kwa dola. Kwa hiyo si hoja tena. Na si kila kitu kupinga vitu vingine kubalini tu na kumbukeni hata New York haikujengwa kwa siku moja, well done JK