Hongera JK-Mitihani siku hizi haivuji!

Hongera JK-Mitihani siku hizi haivuji!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
Nasema mpaka 2015 Tanzania na watanzania watakuwa wamenyooka. Yaani kaanza na elimu kwa kuthibiti mianya yote ya kuvuja mitihani, unaona sasa kiama cha wanafunzi kufeli. Ingawa pia na vijana wameendekeza sana manchester united hawasomi, ila kwa kuthibiti uvujaji wa mitihani nawapongeza sana. Pia hata huko halimashauri pia nako kabana kinoma nako wanalia. Najua wengi hamumupendi baba riz ila najua after 2015 ndiyo mtatambua kwamba alikuwa na visheni ya nchi, haswa ktk elimu. Huwezi kuwa na taifa la watu wasiokuwa siriasi na shule na wanaiba mitihani then useme una quality education. Mi nasema ufaulu wa wanafunzi siyo kigezo cha ubora, bali ni uelewa. Waliopata zero ni wao kushindwa kujitambua.
 
kumbe ni mianya ya uvujaji ndo imezbwa ndo maana matokeo yakawa yalivyokuwa dah!!
 
Back
Top Bottom