Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
..." Besides every successful Man, there is a Goodwoman of Noble Character!"
Rais Jakaya Kikwete jana alitimiza miaka 20 ya ndoa yake na Salma Kikwete .
Sherehe hizo za kuadhimisha miaka hiyo 20 ilifanyika Ikulu jana jioni ambapo keki ilikatwa na wawili hao walilishana keki hiyo kwa bashahi mbele ya familia na jamaa ya karibu.
Pichani wakikata keki pamoja na ya pili mzee akimlisha mama keki. Lukwangule inawatakia kila la heri katika familia hii ya kwanza ili kuweza kuiongoza vyema familia yao na nchi.
chanzo; lukwangule entertainment
Miaka 20 ya ndoa, ...naam, miaka 5... 10... 15... 20 ni mfano wa kuigwa! Kila la Kheri katika miaka mingine ishirini (na zaidi) ijayo!Rais Jakaya Kikwete jana alitimiza miaka 20 ya ndoa yake na Salma Kikwete .