sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.
Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.
Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio wimbo bora wa mwaka 2023.
Huu wimbo umetumika kuburudisha watu wengi kwenye mwaka 2023.