Hongera Juma Jux kwa kufikisha viewers million 100: 'Enjoy' ndio wimbo bora wa mwaka 2023

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.

Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.

Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio wimbo bora wa mwaka 2023.

Huu wimbo umetumika kuburudisha watu wengi kwenye mwaka 2023.
 
Kwa hizo views ina maana pia ana mpunga mrefu anavuta toka youtube
 
Reactions: K11
Heee kumbe huu wimbo sio wa diamond? Yaani ndio umenipa taarifa mpya.
 
Hio ndo faida ya kufanya collabo na our international artist Diamond Platnum

Beat kali S2kizzy, lyrics, flowing style na dancing style imeipeleka video worldwide
 
Awe mwangalifu na huo urafiki na bibiake Paff Dady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…