Hakika nalipongeza jeshi letu, JWTZ, kwa umahiri na uweledi katika shughuli zao za Ulinzi wa nchi. Hawa wapiganaji , si wa enzi zetu za JKT, kupigana kwa singe na bunduki za SAR na sana sana SMG.
Sasa naona kuna mitambo ambayo ni projectiles zinazohitaji mahesabu na timing.