GE2025 Hongera JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano leo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hongera nyingi sana kwa askari wa JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano ya wananchi, Mmeonyesha kweli ninyi ni Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka wananchi wameona kazi yenu nzuri!
 
Halafu MangeKimambi aliwadanganya vijana akisema jeshi liko na upande wa waandamanaji. Nao wakamsikia bila kutumia akili zao.

Tuna Jeshi Tena Imara sana, ukiona Jeshi linamsaliti Amiri Jeshi Mkuu ujue hio sio Jeshi Bali genge la Wahuni, lau kama Jeshi lingemsaliti Rais basi jua Kila mtu angekua anajinyea ndani kwake. Yaani Jeshi Gani linalowaskiliza kina Mange ???
 
Hata hivyo ninavyosikia JWTZ walikuwa hawaui wananchi kama Polisi walivyokuwa wanafanya.

Waandamanaji wametumia haki yao ya kikatiba mpaka wameweza kuitikisa mihimili.

Jambo hili limeamusha akili za wengi na sasa wameelewa kuwa Mtanzania wa Mwaka 2020 si wa Mwaka 2025 watu wameshaamka wanajua kudai haki zao zilizominywa..

Mange kafanya vizuri kuwaamusha watanzania walio lala kama wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…