sasa lugumi humjui kweli?😃😀😀😀 Khe mkuu mbona Mimi sio gen z
Ndiosasa lugumi humjui kweli?
Kutoka kuwa fundi viatu mwanza hapo mpaka bilionea si mchezoMbona kama anafanana na fisadi lugumi?Au ndiyo yeye?
unaweza ona mtu fundi viatu kumbe mtu wa systemKutoka kuwa fundi viatu mwanza hapo mpaka bilionea si mchezo
Connection ikikupitia safi sana 😄
Ova
😄 hakuna line tu inaweza kukutembelea,wadau wakataounaweza ona mtu fundi viatu kumbe mtu wa system