Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi.
Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu.
Wakuu wa mikoa au Wizara na ofisi ya makamu wa Raisi mnaohusika na utunzaji wa mazingira na barabara zetu kuu tembeleeni makutopora mtajifunza jambo.
Makutopora wamepanda miti kando kando ya barabara na wanatrim nyasi kwa ustadi wa hali juu sana ukitembelea maeneo yale hakika utaskia fahari. Naimani kila anayepita eneo lile hutoa neno la kusifia.