Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huko Kenya sasa hivi Makanisa yamegeuka kuwa majukwaa ya wanasiasa. Wahuburi wanafanya huduma kwa muda mfupi tu kisha sehemu kubwa ya muda unaobaki wanawaachia wanasiasa waliofika katika inabada kutoa hotuba zao za kisiasa.
Uzuri ni kwamba wanasiasa wote kutoka upinzani na serikalini wanapewa fursa hiyo.
Hakuna ubaguzi katika kupata majukwaa ya kanisa kufanya siasa.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu sana inayotoa uhuru na fursa kwa wote.