Wahuburi wanafanya huduma kwa muda mfupi tu kisha sehemu kubwa ya muda unaobaki wanawaachia wanasiasa waliofika katika inabada kutoa hotuba zao za kisiasa.
Hadi Ikulu viongozi wa kanisa wanaitwa kwenda kuiombea nchi, lakini waislam wametengwa, kweli hiyo ndio demokrasia ya kweli.Huko Kenya sasa hivi Makanisa yamegeuka kuwa majukwaa ya wanasiasa. Wahuburi wanafanya huduma kwa muda mfupi tu kisha sehemu kubwa ya muda unaobaki wanawaachia wanasiasa waliofika katika inabada kutoa hotuba zao za kisiasa.
Uzuri ni kwamba wanasiasa wote kutoka upinzani na serikalini wanapewa fursa hiyo.
Hakuna ubaguzi katika kupata majukwaa ya kanisa kufanya siasa.
Hii ni demokrasia ya hali ya juu sana inayotoa uhuru na fursa kwa wote.
Muhimu sio muda, Je nchi ambayo ni "secular", iweje viongozi wa kisiasa wanatumia maeneo ya ibada kuwa ni majukwaa ya kisiasa?, Tena dini Moja pekee, misikiti ikianza kuzungumza siasa wanasema wanafunza ugaidiHebu tuwekee moja hapa tuone huo muda mfupi wa huduma na muda mrefu wa siasa
Kwenye kila jambo lipo la kujifunza
Muhimu sio muda, Je nchi ambayo ni "secular", iweje viongozi wa kisiasa wanatumia maeneo ya ibada kuwa ni majukwaa ya kisiasa?, Tena dini Moja pekee, misikiti ikianza kuzingumzia siasa wanasema wanafunza ugaidi
Hayo yamefanyika sana Tanzania lakini kwa kuwa ni watu wenye asili ya unafiki wanaongelea ya wenzao.
Kuna kipindi walisema Kikwete alikuwa ni chaguo la Mungu na mara Magufuli naye mara huyu mama. Watanzania ni wanafiki wakubwa sana.
Hebu tuwekee hapa misikiti inavyopingwa ili tupate ground ya kujadili
Hivi mkuu unaelewa kinachozungumzwa au ni mihemko tu inayokuendesha?.Hayo yamefanyika sana Tanzania lakini kwa kuwa ni watu wenye asili ya unafiki wanaongelea ya wenzao.
Kuna kipindi walisema Kikwete alikuwa ni chaguo la Mungu na mara Magufuli naye mara huyu mama. Watanzania ni wanafiki wakubwa sana.