Hongera Kenya

Hongera Kenya

Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,203
Reaction score
1,422
Hongera kwako Mkenya kwa kutufunga. Leo kicheko kwako; kwetu kilio. Kesho kinyume chake. Lakini bila kujali matokeo, tunabakia "DUGU MOJA". Tukutane baadaye kijiweni tukunywe.
 
Wamemfunga makonda na sio Tanzania. Ushindi wa Kenya ni ushindi pia kwa Pierre luquid, wabunge na hata mh. Supaika.
Hongera kwako Mkenya kwa kutufunga. Leo kicheko kwako; kwetu kilio. Kesho kinyume chake. Lakini bila kujali matokeo, tunabakia "DUGU MOJA". Tukutane baadaye kijiweni tukunywe.
 
Back
Top Bottom