Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Hongera kwako Mkenya kwa kutufunga. Leo kicheko kwako; kwetu kilio. Kesho kinyume chake. Lakini bila kujali matokeo, tunabakia "DUGU MOJA". Tukutane baadaye kijiweni tukunywe.
ππππJee kama Taifa Stars ingeshinda ingebadilika kuwa timu ya CHADEMA kwa kuwa iliyofungwa sasa ni ya CCM?